Organization Registration
ADR Registration
Service provider registration(Lap/Adr)
Issues/Complaints
Fill Issues/Complaints
Chat with Us
Sign in to Account
Forgot Password Form
Issues
If you have a complaint or any information that requires legal assistance
Legal Aid Provider
If you are Legal Aid Provider, Click button below to register
Alternative dispute resolution
If you are Altenate Dispute Resolution , Please click button to register
Msaada wa Kisheria
Mfumo huu unakusudia kutoa msaada wa kisheria kwa watu ambao wanahitaji huduma za kisheria.Lakini pia Tunatoa fursa kwa waombaji kusajili maombi yao ya msaada wa kisheria kupitia mfumo wetu rahisi na wa kirafiki. Tafadhali fuata maelekezo hapa chini ili kufanikisha kutuma malalamiko au kama wewe ni mtoa msaada wa kisheria jinsi ya kufanya usajili wako.
- Kama ni muombaji mpya, bofya kiunganishi cha hapo juu kilichoandikwa "Jisajili" kuanza kufanya usajili.
- Tafadhali chagua aina ya maombi kama ni Mtoa msaada wa kisheria au Mtatuzi wa migogoro kwa njia mbadala.
- Ingiza barua pepe kama jina la mtumiaji na uingize nywila yako kuingia ndani ya mfumo.
- Baada ya kufanikiwa kuingia ndani, tafadhali kamilisha maombi yako kwa ufasaha ili kuharakisha mchakato wa kupewa cheti .
- Maombi yasiyokamilika yatarudishwa hakikisha umeambatanisha taarifa zote sahihi zinazohitajika
- Hakikisha vyeti ulivyoambatanisha vina maandiko yanayosomeka kwa urahisi.
- Kuwasilisha taarifa za kughushi au za uongo zitapelekea kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi yako.
Tafadhali piga simu huduma kwa mteja: +255 26 2310021 au 255 26 2321679